PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: HABARI PICHA-TRA WAIBUKA NA KIKOMBE SIKUKUU YA NANENANE
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
 Afisa Elimu wa Mamlaka ya Mapato (TRA)  Kanda ya Kaskazini Eugenia Michael Mkumbo akipokea kombe la ushindi baada ya kushika nafasi ya ...

 Afisa Elimu wa Mamlaka ya Mapato (TRA)  Kanda ya Kaskazini Eugenia Michael Mkumbo akipokea kombe la ushindi baada ya kushika nafasi ya kwanza  kwa upande wa sekta na  mashirika yanayotoa elimu katika maonyesho ya Nane nane yaliyoandaliwa na TASO kanda ya Kaskazini yalifanyika hivi karibuni.Anayemkabidhi ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara Erasto Mbwilo.Picha na Ferdinand Shayo

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top