PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: POLISI INAWASHIKILIA WATU NANE KWA TUKIO LA VIUNGO VYA BINADAMU JIJINI DAR.
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam,Suleiman Kova akizungumza na Vyombo vya habari mbalimbali mapema leo makao maku...

 

  Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam,Suleiman Kova akizungumza na Vyombo vya habari mbalimbali mapema leo makao makuu ya jeshi la polisi jijini Dar kuhusiana na sakata la viungo vya binadamu vilivyokamatwa jana ambapo Kamanda Kova amesema kuwa watu wanane wamekamatwa kuhusiana na tukio hilo.

 Kamanda Kova amesema kuwa jopo la Wataalamu saba limeundwa kuchunguza tukio hilo na amethibitisha kuwa viungo vile vilikuwa ni vya maiti,ambavyo hutumika na madaktari kwa elimu ya matibabu na utafiti.

UKWELI KUHUSU VIUNGO VYA BINADAMU VILIVYOKAMATWA BUNJU,

Habari zimethibitisha kwamba masalia ya viungo vya binadamu vilivyotupwa maeneo ya Bunju yametoka chuo cha udaktari IMTU kilichopo Mbezi baada ya wanafunzi kumaliza kutumia kwa mazoezi. Viungo hivi vilitupwa baada ya mukosa pesa za kuteketeza kwenye tanuri maalum.
 

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top