Mkurugenzi wa tiba ambaye pia ni kaimu mgamga mkuu wa hospitali ya Seliani Dr. Paulo akiongea na waandishi wa habari |
Akithibitisha kupokea wagonjwa walioadhiriwa na bomu
hilo Mkurugenzi wa tiba ambaye pia ni
kaimu mgamga
mkuu wa hospitali ya Seliani Dr. Paulo Kisanga alisema kuwa tukio hilo
lilitokea majira yasaa 4:30 usiku katika eneo kwani walianza kupokea
wagonjwa hao kuanzia majira
ya saa tano kasoro na saatano .
“kati yawagonjwa hao nane mmoja alitwa akiwa mahututi sana
kwani mguu wake ulikuwa umeadhiriwa sana na bomu hiloivyo ikatulazimu kumkata mguu mmoja wa kushoto ,kwakweli
mgonjwa
huyo ambaye tumemkata mguu anaitwa Deepak Gupta (25) mwanaume na sasa
ivi anaendelea vyema kidogo na yupokatika chumba cha ICU ndani ya
hospitali hii yetu ya Seliani”alisema Kisanga
Post a Comment