PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: UKATILI WA MAJAMBAZI TIZAMA HAPA PICHA JINSI DEREVA BODABODA SAMWELI ALIVUOUWAWA picha zinatisha sana
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
T Picha jinsi alivyochinjwa Jeshi la Polisi Wilayani Mpanda Mkoa wa Katavi linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kumuuwa dereva ...

T
Picha jinsi alivyochinjwaJeshi la Polisi Wilayani Mpanda Mkoa wa Katavi linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kumuuwa dereva Bodaboda mmoja aitwaye Frenk Joseph (25)mkazi wa mtaa wa Nsemlwa Wilayani Mpanda Mkoa wa Katavi kwa kumchinja shigo na kisha kumpora pikipiki yake aina ya SANLG yenye namba za usajiri T 704 CDQ Kamanda wa jeshi la Polisi wa Mkoa wa Katavi Kamishina msaidizi mwandamizi Dhahiri Kidavashari aliwataja watuhumiwa hao kuwa ni Charles Kidaha(29),Madia Mtema (40) na Buyenza Jendesha (40) wote wakazi waTarafa ya Mwese Wilayani Mpanda. princemediatz.blogspot.com





(Pichani wanaosadikiwa kuwa majambazi waliokamatwa kuhusiana na tukio hilo).

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top