PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: MANCHESTER CITY YAILIZA TENA ASENO KWA KUMNYAKUA SAGNA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Hatimaye beki wa kulia wa Arsenal, Bacary Sagna amekamilisha usajili wake Manchester City kwa kupewa mkataba wa miaka mitatu. ...

Inaelezwa kwamba mabingwa hao wa Ligi Kuu ya England wamempa mkataba ambao atalipwa pauni 150,000 kwa wiki, ikiwa ni nyongeza kubwa kutoka pauni 80,000 alizokuwa akilipwa Arsenal.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top