PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Ajtc televisionyaleta mafanikio kwa wanachuo wake
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
NA: AJTC TV CREW Arusha journalism training college chuo cha uandishi wa habari na utangazaji ambacho pia kinamiliki TV inayo itwa a...

NA: AJTC TV CREW

Arusha journalism training college chuo cha uandishi wa habari na utangazaji ambacho pia kinamiliki TV inayo itwa ajtc tv,tv inayotumiwa na wanachuo kwa ajili ya mazoezi ya vitendo,Pia wanachuo wana nafasi ya pekee ya uandaaji wa vipindi ambavyo ni Recorded na kuviedit katika mashine za kisaa na kwa kiwango cha juu kabisa yani DTV(digital television). Pia wana fursa ya pekee katika kutangaza vipindi ambavyo ni Live katika mfumo wa kisasa kabisa ya HD(high definition).
moja ya digital background ya ajtctv
ajtc tv control room

Vipo vipindi vya burudani ambavyo wamekuwa wakivianda kwa uhalisia na umahiri ambao umewawezesha kupata uzoefu wa hali ya juu katika kuandaa vipindi vya burudani vyenye maadili na nadhifu kwa watazamaji wanao itazama ajtc tv
Mtangazaji wa AJTC tv ambae pia ni mwanachuo wa AJTC Johaness Johnson akitangaza kipindi cha burudani.
Wanachuo pia wameweza kufanya mahojiano na watu wa aina mbalimbali katika harakati za kuandaa vipindi vya ajtc tv,ili kujipatia uzoefu wa kukutana na watu wa aina mbalimbali.
Producer na Mkurugenzi wa Noizmekah production iliopo jijini Arusha  DX ,akihojiwa na ajtc tv katika kipindi cha burudani.
Daktari akihojiwa na ajtc tv katika kipindi cha Tanzania yetu.Dokta Godfrey Mmary   

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top