Basi la kampuni ya Sumry lenye namba za usajili, T 799 BET lililouwa watu 18 mkoani Singida. Gari la polisi likiwa limepakia maiti zaidi ya kumi zikipelekwa hospitali ya mkoa wa Singida kwa ajili ya …
REAL MADRID YAINGIA FAINALI YA UEFA KWA KISHINDOOOO CHA BAO 5 BILA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Vigogo wa ligi kuu ya Uhispania Real Madrid, wamekuwa timu ya kwanza kufuzu kwa fainali ya ligi ya mabingwa barani ulaya baada ya kuinyeshea Mabingwa watetezi wa kombe hilo Bayern Munich ya Ujeruma…
Ukawa kuunguruma leo Zanzibar
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Dar es Salaam. Hatimaye mkutano wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), uliokuwa umezuiwa kupisha sherehe za Muungano utafanyika leo katika Viwanja vya Kibandamaiti, Unguja baada ya kupata barak…
Sudan Kusini kujadiliwa hatima yao kujiunga na EAC leo
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mkutano wa kumi na mbili wa viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki unaaanza rasmi hii leo mjini Arusha nchini Tanzania. Miongoni mwa maswala muhimu yatakayojadiliwa ombi la Sudan Kusini kutaka k…
MWANAFUNZI WA CHUO APOTEZA MAISHA WAKATI AKIJARIBU KUTOA MIMBA KATIKA CHUMBA CHA BOYFRIEND WAKE.
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mwanafunzi wa Eden Hilling College aliyetajwa kwa jina la Atu Gabriel amefariki akidaiwa kujaribu kutoa mimba kwa kunywa vidonge.Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani (RPC), Orech Mtei, ka…
DUNIANI KUNA MAMBO!!!SKETI ZA KUBANA ZAMLETEA SHIDA ASKARI POLISI HUKO KENYA..Fuaatilia hiiii
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Afisa Linda Okello akiwa kazini Afisaa mmoja wa polisi mwanamke nchini Kenya amepewa onyo kali kwa kuvalia sketi iliyokuwa imembana kiasi cha kuonyesha umbo lake. Wakuu wake walichukua hatua ya kumuo…
AJALI ZA BARABARANI: BASI LA KAMPUNI YA AM LAMGONGA MWENDESHA BAISKELI MKOANI ARUSHA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Tunaomba radhi kwa picha hizi zenye kusikitisha na kuogofya Mwendesha baiskeli akiwa amelala huku akiwa ameumia vibaya baada ya kugongwa na Basi la AM Basi la AM linaloanya safari zake katika ya mik…
GODBLESS LEMA AZIDI KUMWANDAMA RAISI KIKWETE!!!!!!!
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mbunge wa Arusha mjini Mh. Godbless Lema akihutubia wakazi wa jiji la Arusha katika viwanja vya levolosi maarufu kwa jina la Samunge hivi karibuni ambapo umati wa wakazi hao ulijitokewza kwa wingi ku…
PITIA HAPA SENTENSI 7 MPYA ALIZOZIONGEZA JAJI WARIOBA ZINAZOHUSU KATIBA MPYA.
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Aliyekua Mwenyekiti wa tume ya taifa ya kukusanya maoni ya katiba Mheshimiwa Jaji Joseph Sinde Warioba jana kupitia kipindi cha dakika 45 cha ITV amezungumza mambo mengi sana ya msingi kuhusu muunga…
Wanafunzi watatu wapoteza maisha wakiogelea kwenye ‘Swimming pool’ Dar!
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Kinondoni, linamshikilia mfanyabiashara maarufu jijini Dar es Salaam, Mboka David (44) mkazi wa Kijitonyama kwa kosa la kusababisha vifo vya watoto watatu wa shule ya …
UKAWA YAZIDI KUIPASUA KICHWA CCM SASA KUSIMAMISHA MGOMBEA URAIS 2015
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Viongozi wanaounda kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKawa). Kutoka kushoto, Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lip…
CHADEMA YAZIDI KUMEGUKA HUKO MUFINDI PITIA HAPA KUPATA TAARIFA KAMILI.........
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Katibu wa chama cha mapinduzi CCM W/ Ya Mufindi Miraj Mtaturu akiwa na mjumbe wa halmashauri kuu CCM - MNEC Wilaya ya Mufindi ambaye pia ni mwenyekiti wa UWT W ya Mufindi Marcellina Mkini, kati…
Madiwani Kiteto kwenda kumwona Pinda ili awatatulie mgogoro wa ardhi
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
mwenyekiti wa HALMASHAURI YA KITETO Ni Kuhusu kujitokeza mauaji ya wakulima na wafugaji Wasema vigogo wapo nyuma ya migogoro hiyo NA. MOHAMED HAMAD 0758 222248 BARAZA la madiwani wa Halamshauri…
WAKULIIMA BADO WANAIBIWA NA WAFANYABIASHARA JIJINI MBEYA!!!!!!!!!!!!!
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Baadhi ya wakulima wa viazi wakiwa wamejaza LUMBESA zao hakika mkulima anaibiwa anajiona je wahusika wa vipimo mpo? Usipojaza RUMBESA sinunui kwako hapo sasa mweee mkulima apeleke kilio chake wapi? w…