PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Tuzo ya mwalimu bora duniani yazinduliwa
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Bill Clinton ndiye mwenyekiti wa wakfu huo Tuzo hiyo yenye thamani ya dola milioni moja, itakabidhiwa mwalimu ambaye anafanya kazi ya u...



Bill Clinton ndiye mwenyekiti wa wakfu huo

Tuzo hiyo yenye thamani ya dola milioni moja, itakabidhiwa mwalimu ambaye anafanya kazi ya ualimu na ambaye atathibitisha kuwa mchango wake kwa jamii umekuwa bora zaidi kuliko walimu wengine wote duniani.

Pesa hizo zitatolewa kwa kipindi cha miaka kumi, lakini mwalimu huyo ataendelea kufundisha angalau kwa miaka mingine 5.


Tuzo hiyo ambayo imezinduliwa na wakfu wa Varkey Gems, shirika ambalo hutoa mchango mkubwa katika sekta ya elimu duniani, inaungwa mkono na mtawala wa Dubai, Sheikh Mohammed bin Rashid al Maktoum.

Mwenyekiti wa wakfu huo ni Rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton. Bwana Clinton amesema kuwa ni muhimu sana kuwavutia watu bora zaidi kuwa walimu na pia kuwaza kuwathamini na kuthamini kazi zao.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top