Home
»
HABARI ZA BIASHARA
» WAZIRI KIGWANGALLA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA ITALIA NCHINI, ROBERTO MENGONI
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza na Balozi
wa Italia nchini, Roberto Mengoni ofisini kwake Jijini Dodoma leo ambapo
wamekubaliana kuimarisha ushirikiano kwenye tafiti za binadamu wa kale
katika eneo la Olduvai, kuboresha utoaji wa elimu hususan ya mapishi ya
vyakula vya Kiitaliano katika Chuo cha Taifa cha Utalii na Utangazaji wa
vivutio vya utalii nchini.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla akiwa kwenye picha ya
pamoja na Balozi wa Italia nchini, Roberto Mengoni baada ya mazungumzo
ofisini kwake Jijini Dodoma leo.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla akiagana na Balozi wa
Italia nchini, Roberto Mengoni baada ya mazungumzo ofisini kwake Jijini
Dodoma leo. (Picha na Hamza Temba-WMU)
About Author

Advertisement

Related Posts
- FARU WA HIFADHI YA SERENGETI KULINDWA KWA GHARAMA YA SHILINGI BILIONI 2.511 Sep 20180
Mwandishi wetu,Arusha. Vita dhidi ya ujangili wa Fa...Read more »
- TAASISI YA FRIEDKIN CONSERVATION FUND ( FCF) YAFADHILI MRADI WA TEMBO KUFUNGWA VIFAA VYA UTAMBUZI09 Sep 20180
Dr. Edward Kohi wa kituo cha utafiti wa wanyama pori TAWIRI akiwana Dr.Robert Fyumagwa wa...Read more »
- TAASISI ZAPONGEZWA KUBORESHA NANE NANE 2018 SIMIYU13 Aug 20180
Baadhi ya wakurugenzi na viongozi wa Friedkin Conservation Fund wakiwa katika maonesho ya nanenane...Read more »
- TAASISI YA FRIEDKIN CONSERVATION FUND YATOA SHILINGI MILION 110 KUSAIDIA ELIMU SIMIYU09 Aug 20181
Wakurugenzi wa taasisi ya friedkin conservation fund wakiongozwa na Abdukadir Mohamed wakika...Read more »
- DKT CHARLES TIZEBA AZINDUA MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANENANE KITAIFA MKOANI SIMIYU04 Aug 20180
Mgeni rasmi-Waziri wa kilimo Mhe Dkt Charles Tizeba akihutubia mamia ya wananchi waliojitok...Read more »
- MABANDA YA TAASISI ZA UHIFADHI TANAPA, FCF NA NCAA YAWAVUTIA WENGI MAONESHO YA NENANE SIMIYU03 Aug 20180
Wananchi mbalimbali wakipata maelezo na umuhimu wa utalii ndani ya mabanda ya ...Read more »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.