Lango Kuu la Kuingia Hifadhi ya Taifa ya Tarangire iliyopo mkoani Manyara .
Mkuu
wa Idara ya Utalii,Mhifadhi Theodora Aloyce akitoa maelezo kwa Maafisa
Habari,Mawasiliano na Uhusino Serikalini walipotembelea Hifadhi ya Taifa
ya Tarangire iliyopo mkoani Manyara kwa lengo la kutangaza Utalii wa
ndani.
Baadhi
ya Maafisa Habari,Mawasiliano na Uhusiano Serikalini wakiwa katika gari
wakati wa kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Tarangire kujionea vivutio
mbalimbali vilivyoko katika Hifadhi hiyo wakiwemo Wanyama mbalimbali.
Miti Mikubwa ya Mibuyu ni sehemu ya Vivutio vilivyoko katika Hifadhi ya Taifa ya Tarangire.
Digi
Digi ni mmoja kati ya Wanyama wanaopatikana katika Hifadhi ya Taifa ya
Tarangire ambaye Maafisa Habari wa Taasisi za Serikali walipata fursa
kumuona.
Mnyama Simba akiwa katika muinuko ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Tarangire ili kumrahisishia kuweza kuona maeneo ya mbali.
Twiga ni miongoni mwa wanyama ambao pia walionekana kwa uzuri zaidi katika Hifadhi ya Taifa ya Tarangire.
Baadhi
ya Maafisa Habari wa Taasisi za Serikali wakifurahia ziara ya
kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Tarangire ikiwa ni pamoja Stori
walizokuwa wakipatiwa na waongoza watalii .
Kundi la Swala wakipata malisho ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Tarangire.
Tumbili ni miongoni mwa wanyama walioko katika Hifadhi ya Tarangire.
Maafisa
Habari wa Taasisi mbalimbali za Serikali wakichukua Taswira katika eneo
la Picnic ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Tarangire.
Makundi Makubwa ya Tembo ni kivutio kikubwa zaidi katika Hifadhi ya Taifa ya Tarangire.
Baada
ya Ziara ya kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Tarangire iliyopo mkoani
Manyara ,Maafisa Habari wa Taasisi za Serikali wakachukua Taswira na
Mkuu wa Idara ya Utalii katia Hifadhi ya Taifa ya Tarangire Theodora
Aloyce.
Post a Comment