Mwenyekiti
wa Wakala wa Utalii nchini, TATO (Tanzania Associations of Tour
Operators) Ndugu Wilbard Chambulo akigonga glasi na wageni waalikwa
kabla ya kuanza kwa Uzinduzi wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori
(FZS Serengeti Conservation Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya
Wanyama ya Serengeti iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by
Sheraton Arusha (zamani The Arusha Hotel) tarehe 14:10:2017, Jijini
Arusha.
Wageni Waalikwa wakipata vinywaji kabla ya Uzinduzi wa Mradi (FZS Serengeti Conservation Programme De -Snaring Project)
Mkurugenzi
Mtendaji wa Wakala wa Utalii Nchini (TATO), Ndugu Sirili Akko
akiwakaribisha na kutoa ratiba fupi kwa wageni waalikwa kabla ya kuanza
kwa Uzinduzi wa Mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti
Conservation Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya
Serengeti iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha
(zamani The Arusha Hotel) tarehe 14:10:2017, Jijini Arusha.
Wadau wa Habari wakiwa katika Uzinduzi
wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation
Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti
iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The
Arusha Hotel) tarehe 14:10:2017, Jijini Arusha.
Meza
Kuu, Watatu kutoka Kulia ni Mkuu wa Mkoa Arusha Mhe. Mrisho Gambo, Mkuu
wa Wilaya ya Arusha Mhe. Gabriel Daqqaro , Ndugu Chambulo, Mzee Nunes ,
Ndugu Gerald Bigurube (FZS-TZ) na Dk. Simon Mduma (TAWIRI) katika Uzinduzi
wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation
Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti
iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The
Arusha Hotel) tarehe 14:10:2017, Jijini Arusha.
Mzee Nunes akitoa Mada fupi katika uzinduzi
wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation
Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti
iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The
Arusha Hotel) tarehe 14:10:2017, Jijini Arusha.
Wadau wa Utalii nchini wakisikiliza kwa Umakini katika uzinduzi
wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation
Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti
iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The
Arusha Hotel) tarehe 14:10:2017, Jijini Arusha.
Wadau
wa Mradi , Kutoka Kushoto ni Ndugu William Mwakitelima (TANAPA), Ndugu
Abraham Saidea (DE-SNARING TEAM), Ndugu Erik Winberg (FZS Project
Manager)
Wageni waalikwa
Kamati ya Maandalizi
Ukumbi
Meneja wa Mradi, Ndugu Erik Winberg akitoa Maelezo na Picha ya Mradi wa utoaji mitego kwa Wanyama pori
Ndugu Abraham Saidea, akionyesha Nyaya zitumikazo kutega wanyamapori katika mbuga ya Wanyama ya Serengeti katika uzinduzi
wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation
Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti
iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The
Arusha Hotel) tarehe 14:10:2017, Jijini Arusha.
Msaidizi
wa Mradi, Ndugu Abraham Saidea akitoa maelezo ya jinsi Majangili
wanavyowatega kwa waya Wanyamapori katika Mbuga ya Serengeti katika uzinduzi
wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation
Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti
iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The
Arusha Hotel) tarehe 14:10:2017, Jijini Arusha.
Mdau wa Utalii akiuliza Swali kwa waendesha Mada katika uzinduzi

Ndugu Salehe akiuliza Swali kwa waendesha Mada katika uzinduzi
wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation
Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti
iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The
Arusha Hotel) tarehe 14:10:2017, Jijini Arusha.
Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Gabriel Daqqaro akisalimia na kumkaribisha Mkuu wa Mkoa ili kuzindua mradi wa
Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme De
-Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti iliyofanyika katika
Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha Hotel)
tarehe 14:10:2017, Jijini Arusha.
Mkuu
wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo akizindua Mradi wa Utoaji Mitego
kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme De -Snaring
Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti iliyofanyika katika Hoteli ya
Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha Hotel) tarehe
14:10:2017, Jijini Arusha.
Ugawaji wa Vyeti kwa wadau wa Utalii katika uzinduzi
wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation
Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti
iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The
Arusha Hotel) tarehe 14:10:2017, Jijini Arusha.
Mdau wa Utalii akipokea Cheti cha Ushiriki katika uzinduzi

Ndugu Hanspaul ,akipokea Cheti cha Ushiriki katika uzinduzi
wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation
Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti
iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The
Arusha Hotel) tarehe 14:10:2017, Jijini Arusha.
Mdau wa Utalii akipokea Cheti cha Ushiriki katika uzinduzi wa Mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS
Serengeti Conservation Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya
Wanyama ya Serengeti iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by
Sheraton Arusha (zamani The Arusha Hotel) tarehe 14:10:2017, Jijini
Arusha.
Dk. Simon Mduma akitoa neno la Shukrani kwa wadau wa utalii katika Uzinduzi
wa Mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation
Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti
iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The
Arusha Hotel) tarehe 14:10:2017, Jijini Arusha.
Ndugu Chambulo, akitoa neno la Hitimisho mara baada ya uzinduzi

Post a Comment