Title: RAIS DKT MAGUFULI AHITIMISHA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TANO YA ARUSHA LEO
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5
Des:
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wananchi wa Singisi kata ya Akeri nje kidogo ya jiji la ...
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na wananchi wa Singisi kata ya Akeri nje kidogo ya jiji la
Arusha kwenye njia panda ya KIA waliosimamisha msafara wake akiwa njiani
kurejea Dar es salaam leo asubuhi Septemba 25, 2017 baada ya kumaliza
ziara yake ya siku tano mkoani Arusha.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akisindikizwa na wakuu wa mikoa ya Kilimanjaro, Mama
Anna Mghwira na wa Arusha Mhe Mrisho Gambo akati akielekea kupanda
ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kurejea
Dar es salaam leo asubuhi Septemba 25, 2017 baada ya kumaliza ziara
yake ya siku tano mkoani Arusha.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo kabla ya
kupanda ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA)
kurejea Dar es salaam leo asubuhi Septemba 25, 2017 baada ya kumaliza
ziara yake ya siku tano mkoani Arusha
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na Mkuu wa mikoa ya Kilimanjaro, Mama Anna Mghwira kabla ya
kupanda ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA)
kurejea Dar es salaam leo asubuhi Septemba 25, 2017 baada ya kumaliza
ziara yake ya siku tano mkoani Arusha.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na Mkuu wa mikoa ya Arusha, Mrisho Gambo kabla ya
kupanda ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA)
kurejea Dar es salaam leo asubuhi Septemba 25, 2017 baada ya kumaliza
ziara yake ya siku tano mkoani Arusha.
Rais
wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungiwa
mikono na Mkuu wa mikoa ya Kilimanjaro, Mama Anna Mghwira na Mkuu wa
\Mkoa wa Arusha wakati ndege yake ikiondoka katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kurejea Dar es salaam leo asubuhi
Septemba 25, 2017 baada ya kumaliza ziara yake ya siku tano mkoani
Arusha.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo na Kamanda wa Polisi wa Mkoa
huo wakiondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) baada
ya kumsindikisza Rais Dkt John Pombe Magufuli leo asubuhi Septemba 25,
2017 baada ya kumaliza ziara yake ya siku tano mkoani Arusha.
Post a Comment