PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: LWANDAMINA:Mashabiki wa Yanga Jitokezeni kwa Wingi Uwanjani Kuupokea Ushindi Dhidi ya Majimaji
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
    Kocha wa Yanga, George Lwandamina amewaambia mashabiki wa Yanga wajitokeze kwa wingi uwanjani kwani nafasi ya kikosi ...


LWANDAMINA:Mashabiki wa Yanga Jitokezeni kwa Wingi Uwanjani Kuupokea Ushindi Dhidi ya Majimaji
Kocha wa Yanga, George Lwandamina amewaambia mashabiki wa Yanga wajitokeze kwa wingi uwanjani kwani nafasi ya kikosi chake kushinda dhidi ya Majimaji ni kubwa.

Lwandamina amesema kikosi chake kiko imara kuwakabili Majimaji licha ya kwamba uwanja siyo mzuri sana.

"Ni mechi ngumu lakini tuna uwezo wa kushinda. Tutacheza soka la kupambana na kujituma zaidi," alisema Lwandamina.

"Hatufahamu sana wao wamejipanga vipi lakini muhimu kwetu ni kuwa na timu nzuri ya ushindani," alisema kocha huyo.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top