Serikali ya Tanzania kupitia Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kwa kushirikiana na Umoja wa Ulaya imekamilisha ujenzi wa Makumbusho mapya ya Olduvai ambayo yanaonesha Chimbuko la Binadamu (The Crad…
TANGA CEMENT YATOA MIFUKO YA SARUJI 660 KWA AJILI YA UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAJENGO KOROGWE NA MAABARA KATA YA MLALO LUSHOTO MKOANI TANGA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Afisa Uhusiano wa Simba Cement Noor Mtanga kushoto akimkabidhi mifuko 500 ya Saruji Mkurugenzi wa Halmashauri ya Korogwe Mji,Jumanne Shauri kulia kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha Afya Majengo wilaya…
CHINA YAIPATIA TANZANIA MSAADA WA SH. BILIONI 29.4 KWA AJILI YA MIRADI YA MAENDELEO
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Kaimu Balozi wa China Nchini Tanzania, Mhe. Gou Haodong (kushoto) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James (kulia) wakibadilishana hati ya makubaliano ya msaada wa Sh. bilioni 29.…
BODI YA WADHAMINI YA TANAPA IKIONGOZWA NA MWENYEKITI WAKE JENERALI (MSTAAFU) WAITARA YATEMBELEA HIFADHI YA KATAVI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), na wajumbe wa bodi hiyo, wakikaribishwa na Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa Katavi, Mhifadhi Izumbe Msindai, walipowasili …
JAFO: WATENDAJI MSILETE LELEMAMA USIMAMIZI MIRADI YA MAENDELEO
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na wananchi mara baada ya kukagua Kituo cha Afya Kintinku wilayani Manyoni, Wengine ni Mkuu wa Wilaya ya Ma…
Nassari, Lema Wakubali Kupeleka Ushahidi wao TAKUKURU
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Wabunge wa Chadema, Godbless Lema na Joshua Nassari wamesema watapeleka kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) ushahidi kuhusu madiwani saba waliojiuzulu katika majimbo yao wanao…
Kubenea Afunguka, ni Baada ya Gazeti lake la Mwanahalisi Kufungiwa
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Kampuni ya Hali Halisi Publishers Limited (HHPL) inayomiliki magazeti ya Mwanahalisi, Mawio na Mseto imesema itafungua kesi mahakamani endapo Serikali haitaondoa zuio la kulifungia kwa miaka miwili…
Askofu Ajitoa Mhanga Katiba Mpya..Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi ya Septemba 28
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des: