PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: PROFESSA MAGHEMBE ATOA TUZO ZA HADHI YA NYOTA TANO MPAKA MOJA KWA HOTELI ZA KITALII ARUSHA NA MANYARA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
 waziri wa maliasili na utalii nchini Professa Maghembe alipokuwa akiwasili katika ukumbi wa Lake Nyassa kwa ajili ya kutoa tuzo za utambu...
 waziri wa maliasili na utalii nchini Professa Maghembe alipokuwa akiwasili katika ukumbi wa Lake Nyassa kwa ajili ya kutoa tuzo za utambuzi wa hotel, camps na lodge zinazohudumia watalii kwa ngazi ya nyota moja mpaka tano kama ilivyoandaliwa na wizara yake ili kukuza utalii nchini. pichani toka kushoto ni mkurugezi wa TTB, wapili kushoto ni katibu mkuu wizara ya maliasili na utalii Jenerali Mlanzi na wa pili kulia ni mkurugenzi wa chama cha wamiliki wa hotel nchini.

 meneja wa chemchem foundations akihojiwa na vyombo mbalimbali vya habari baada ya kampunni yao ya chemchem kushinda hatel mbili kwa  hadhi ya nyota tatu na nyota nne ambapo amesema utambuzi huo utawaongezea soko la watalii lakini pia nao wanajipanga kutoa huduma inayoendana na hadhi hizo ili kuendelea kutoa huduma iliyo bora zaidi kwa wateja wao

MENEJA wa chemchem foundation bwana Lucas Ole Mukusi akipokea cheti kutoka kwa waziri wa maliasili na utalii professa Maghembe  cha kutambua hadhi ya hotel ya chemchem lodge and camps iliyopewa hadhi ya  nyota nne

MENEJA wa chemchem foundation bwana Lucas Ole Mukusi akipokea cheti kutoka kwa waziri wa maliasili na utalii professa Maghembe  cha kutambua hadhi ya hotel ya  le Afrique de  lodge and camps iliyopewa hadhi ya  nyota tatu

 Waziri wa Maliasili na Utalii Professa Jumanne Maghembe akisalimiana na mkurugenzi mtendaji wa chama cha wamiliki wa hotel nchini wakati wa ugawaji wa vyeti vya kutambua hoteli na camps zenye hadhi ya nyota kuanzia moja mpaka tano hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa lake Nyassa uliopo nadi ya ukumbi wa kimataifa wa AICC.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top