Rais
wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika
foleni ya kunawa na kisha kuchukua chakula leo Jumatano Juni 21, 2017
katika futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu
ndogo ya Kibaha ambayo ilihudhuriwa pia na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh
Aboubakar Zubeir Ali pamoja na viongozi wengine wa dini, serikali,
vyama na watoto wanaolelewa kwenye kituo cha yatima mkoani humo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli (wa pili
kulia) akichukua chakula leo Jumatano Juni 21, 2017 katika futali
aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani futari katika Ikulu ndogo ya
Kibaha
Rais
wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akichukua
chakula leo Jumatano Juni 21, 2017 katika futali aliyowaandalia wananchi
wa mkoa wa Pwani futari katika Ikulu ndogo ya Kibaha
Kina
mama wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Kibaya Mhe. Asumpta Mshama
wakichukua chakula wakati wa futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya
Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwa wananchi wa mkoa wa
Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha

wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitoa neno
la shukrani leo Jumatano Juni 21, 2017 wa waliohudhuria futari
aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha
Mmoja
wa waze Maarufu wa Kibaha ambaye ni Kamishna Mkuu wa Magereza Mstaafu
Mzee Jumanne Mangara (kulia) akiwa na Mkurugenzi wa Bagamoyo Sober House
Bw. Alkareem Bhanji (kati) na Mdau Oshiro
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole akiwa na Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete na Mbunge wa Kibaha Mjini Mhe. sylvester Koka na wadau
Rais
wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana
mikono na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubeir Ali baada ya
kuzungumza machache wakati wa futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa
Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
Kaimu
Shehe Mkuu wa Mkoa wa Pwani Sheikh Hamis Mtupa akitoa neno la shukurani
kwa futari aliyoandaliwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa wananchi
wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha
Rais
wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana
mikono na Kaimu Shehe Mkuu wa Mkoa wa Pwani Sheikh Hamisi Mtupa baada
ya kuzungumza machache wakati wa futari aliyoandaliwa na Rais Dkt John
Pombe Magufuli kwa wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya
Kibaha
Mufti
Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubeir Ali akizungumza machache na
kuomba dua baada ya futari iliyoandaliwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli
kwa wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
Sehemu
ya waalikwa wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh
Aboubakar Zubeir Ali baada ya futari iliyoandaliwa na Rais Dkt John
Pombe Magufuli kwa wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya
Kibaha.

Dkt. John Pombe Magufuli akiwa meza kuu na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Eng.
Ndekilo, Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubeir Ali, Kaimu Shehe
wa Mkoa wa Pwani Sheikh Hamis Mtupa na Padri R. Mukandara
Rais
wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akizunguka
meza hadi meza kupeana mikono na kuwashukuru waalikwa kwa kufika katika
futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya
Kibaha.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akizunguka
meza hadi meza kupeana mikono na waalikwa katika futari aliyowaandalia
wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana
mikono na Mbunge wa Kibaha Vijijini Mhe Hamoud Juma baada futari
aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akizunguka
meza hadi meza kupeana mikono na waalikwa katika futari aliyowaandalia
wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana
mikono na Mbunge wa Kibaha Mjini Mhe Sylvester Koka baada futari
aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akizunguka
meza hadi meza kupeana mikono na waalikwa katika futari aliyowaandalia
wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha. Hapa akipeana
mikono na Bw. Petro Magoyi
Rais
wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akizunguka
meza hadi meza kupeana mikono na waalikwa katika futari aliyowaandalia
wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.Hapa anapeana
mikono na Mbunge wa Chalinze Mhe Ridhiwani Kikwete ambaye yupo na Katibu
wa Itikadi wa CCM Ndg. Humphrey Polepole
Rais
wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiendelea
kuagana na wageni wake baada futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa
Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana
mikono na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Pwani Mzee Mwinshehe Mlai baada
futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya
Kibaha.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na
Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubeir Ali baada ya futari
aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
PICHA NA IKULU
Post a Comment