PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: MSD YANG'ARA SHEREHE ZA MEI MOSI KITAIFA MKOANI KILIMANJARO
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Rais John Magufuli akimkabidhi zawadi Mfanyakazi Bora wa Bohari ya Dawa (MSD), 2016/2017, Juma Kiongozi katika maadhimisho ya Siku ya ...





Rais John Magufuli akimkabidhi zawadi Mfanyakazi Bora wa Bohari ya Dawa (MSD), 2016/2017, Juma Kiongozi katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi yaliyofanyika kitaifa mkoani Kilimanjaro leo. Kulia ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na kushoto ni  Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama. 


Wafanyakazi wa MSD Kanda ya Kaskazini wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais John Magufuli na viongozi wengine wakati wa maadhimisho hayo.

 
 Mfanyakazi Bora wa Bohari ya Dawa (MSD), 2016/2017, Juma Kiongozi  (katikati), akitoka kupokea zawadi yake.
 Wafanyakazi wa MSD Kanda ya Kaskazini wakiwa tayari 
kwa maandamano.
Maandamano kuelekea jukwaa kuu alipo mgeni rasmi Rais John Magufuli.




About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top