PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: MO DEWJI ASIKITISHWA NA VIONGOZI SIMBA KUINGIA MKATABA NA SPOTIPESA BILA YA KUMSHIRIKISHA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mfanyabiashara mkubwa nchini, Mohammed Dewji ambaye alikuwa na mpango wa kutaka kuinunua klabu ya Simba pia kuisaidia klabu hiyo...
Mfanyabiashara mkubwa nchini, Mohammed Dewji ambaye alikuwa na mpango wa kutaka kuinunua klabu ya Simba pia kuisaidia klabu hiyo katika mambo mbalimbali ameonyesha kusikitishwa na viongozi wa klabu hiyo kusaini mkataba bila kumshirikisha.

Klabu ya Simba imeingia mkataba wa miaka mitano na kampuni SportPesa ya udhamini wenye thamani ya 4.9 Bilioni 

"Inasikitisha kuwa uongozi wa Klabu ya Simba umesaini mkataba wa udhamini wa muda mrefu bila kunishirikisha. Kwa muda mrefu nimeweka nguvu zangu kwenye klabu" alisema Mohammed Dewji kupitia ukurasa wake wa Twitter 

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top