PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: MBUNGE Lema Ampongeza Lazaro Nyalando Ajali ya Watoto Arusha
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mbunge wa Arusha Mjini Mh. Goodbless Lema amemshukuru Mbunge Lazaro Nyalandu kwa kufanikisha safari ya Marekani ya watoto watatu amba...

Mbunge wa Arusha Mjini Mh. Goodbless Lema amemshukuru Mbunge Lazaro Nyalandu kwa kufanikisha safari ya Marekani ya watoto watatu ambao walinusurika kifo katika ajali ya basi la shule ya Lucky Vicent iliyotokea Karatu na kusababisha vifo vya watu 35.

Mh. Nyalandu alikuwa bega kwa bega na kufuatilia kila hatua kuhakikisha watoto hao pamoja na wazazi wao na daktari wanasafiri kwenda nchini Marekani kwa ajili ya kupata matibabu zaidi. .
. "Mh Lazaro Nyalando , Mungu akubariki sana kwa kazi nzuri ya kusaidia watoto waliopatwa na ajali hapa Arusha, jitihada zako Mungu atakulipa" alisema Godbless Lema
Katika hatua nyingine Mhn Lazalo Nyalandu ameomba pesa zitakazo endelea kuchangwa na Watanzania na watu wengine duniani kwa ajili ya watoto hao zitumike kujenga ICU katika hospitali ya Mount Meru. .
.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top