Naibu Waziri
wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akisalimiana na Waziri Mkuu
wa zamani wa taifa la Israel,Ehud Barak walipokutana katika eneo la
Olduvai Gorge katika Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro akiwa njiani
kuelekea katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti (katikati) ni Meneja
Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa(TANAPA) Pascal Shelutete.
Waziri
Mkuu wa zamani wa Taifa la Israel,Ehud Barak (kushoto) akimueleza jambo
Naibu Waziri wa Malisili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani baada ya
kukutana katika eneo la Makumbusho ya kale la Olduvai Gorge ndani ya
Hifadhi ya Ngorongoro akiwa njiani kuelekea Hifadhi ya Taifa ya
Serengeti (kushoto) ni Meneja Mawasiliano wa TANAPA,Pascal Shelutete.
Mhandisi
Ramo Makani akimueleza jambo Waziri Mkuu wa zamani wa Taifa la Israel
,Ehud Barak baada ya kukutana katika Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro
akiwa njiani kuelekea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
Naibu
Waziri wa Malisili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani (katikati) akimongoza
Waziri Mkuu wa zamani wa Taifa la Israel ,Ehud Barak (kushoto)
kutembelea eneo la Olduvai Gorge .kulia ni Meneja Mawasiliano wa Shirika
la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Pascal Shelutete.
Waziri
Mkuu wa zamani wa taifa la Israel ,Ehud Barak akitia saini katika
kitabu cha wageni huku Naibu Waziri wa Malisili na Utalii,Mhandisi Ramo
Makani akishuhudia mara baada ya kufika eneo la Olduvai Gorge akiwa
njiani kuelekea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti kushudia tendo la wanyama
aina ya Nyumbu wahamao kwa makundi.
Mhandisi Ramo Makani akimueleza jambo Ehud Barak.
Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akieleza mambo
ambayo amepata kuongea na Waziri Mkuu wa Israel baada ya kukutana nae
katika ene la Olduvai Gorge.
Naibu
Waziri wa Malisili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akiwa katika picha ya
pamoja na Watalii wa ndani baada ya kukutana nao katika eneo la Olduvai
Gorge.
Post a Comment