Gari
maalumu la kurushia matangazo ya moja kwa moja la kituo cha televisheni
cha Clouds likiwa Crator ya Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro kwa ajili ya
kurusha kipindi cha Clouds 360.
Mtangazaji Sam Sasali akifungua kipindi Clouds 360 moja kwa moja kutoka eneo la Crator Ngorongoro.
Watangazaji Baby Kabaye na Hassan Ngoma wakijiandaa kuanza kipindi.
Kipindi cha Clouds 360 kikirushwa kutoka eneo la Crator Ngorongoro.
Watangazaji
Baby Kabaye na Hassan Ngoma wakizungumza jambo wakati wakimkaribisha
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani katika
mahojiano wakati wa kipindi hicho.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akiwasili katika eneo la Miti mitatu ndani ya Crator Ngorongoro.
Watangazaji Baby Kabaye na Hassan Ngoma ,wakifanya mahojiano na Naibu Waziri Ramo Makani.
Mkurugenzi
wa Utalii wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Ibrahim Musa (kulia)
pamoja na Meneja Mawasiliano wa TANAPA,Pascal Shelutete wakifuatilia
kipindi hicho katika eneo la Crator.
Wananchi wa jamii ya Masai pia walijumika na askari wa Hifadhi hiyo kufuatilia kipindi hicho.
Mtangazaji
wa Sports 360,James Tupatupa akivishwa vazi rasmi na wananchi kabila la
Wamang'ati wakati akiingia katika kipengere cha michezo katika kipindi
hicho.
Mhandisi Ramo Makani akizungumza jambo na viongozi wa TANAPA na Ngorongoro.
Naibu Waziri,Makani akiwa katika picha ya pamoja na wananchi wa jamii ya Wamang'ati katika ene la Miti Mitatu.Ngorongoro.
Mnyama Tembo akionekana katika eneo la Crator ,Ngorongoro.
Eneo la Mti Mitatu.
Wanyama Pundamilia ndani ya Crator,Ngorongoro.
Wanyama Nyumbu katika Crator ,Ngorongoro.
Eneo la Crator katika Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro
Post a Comment