Mtaalamu wa Mazingira wa Mamlaka
ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Ramadhani
Nyambuka akisistiza jambo kwa waandishi wa habari kuhusu huduma kwa
mteja wakati wa semina ya waandishi wa habari kuelekea kilele cha
maadhimisho ya wiki ya maji Machi 22 mwaka huu
Afisa
Uhusiano Mwandamizi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira
Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Dorra Killo akizungumza jambo wakati wa kikao
hicho leo
Afisa Ankra wa Mamlaka ya Maji
Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga( Tanga Uwasa) Ruluani Luambo
akisistiza jambo wakati wa semina hiyo
Afisa
Uhusiano Mwandamizi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira
Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Dorra Killo akifuatilia matukio mbalimbali
kwenye semina hiyo Mwandishi wa Shirika la Utangazaji la Tanzania (TBC) Joachim Kapembe akiuliza swali kwenye semina hiyo kulia ni Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Dorra Killo
Waandishi wa Habari Jijini Tanga wakifuatilia matukio mbali mbali
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya
Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi
Joshua Mgeyekwa akizungumza na waandishi wa habari jana kuhusu wiki ya
kuadhimisha wiki ya maji iliyoanza Machi 16 hadi Machi 22 mwaka huu
kulia kwake ni Meneja Rasilimali watu na Utawala wa Mamlaka hiyo,Haika
Ndalama
Habari kwa Hisani ya Blog ya
Kijamii ya Tanga Raha.
Post a Comment