PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: BAJETI YA SERIKALI 2017-2018 HAITEKELEZEKI NA HAINA MSAADA KWA WANANCHI - FREEMAN MBOWE
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
   Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema wataipinga bungeni bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha wa 2017/18 kwani haina msaada wowot...
 
 Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema wataipinga bungeni bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha wa 2017/18 kwani haina msaada wowote kwa wananchi wa hali ya chini na wanaamini fedha hizo hazitapatikana kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo.

 Mbowe amesisitiza mwaka jana wabunge wa kambi ya upinzani walieleza wazi kuwa bajeti ya mwaka huu isingetekelezeka na ndio kilichotokea kwani mpaka sasa asilimia 34 pekee ya pesa zote za maendeleo ndizo zimetolewa. 

mtizame hapa chini akiizungumzia hapa mbele ya viongozi wa chadema

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top