Kampuni ya Boeing inajulikana
kama mtengenezaji mkubwa namba moja wa ndege duniani kwa miaka mitatu
mfululizo kuanzia mwaka 2011. Kampuni za Boeing na Airbus ndio
washindani wakubwa zaidi duniani kwa kutengeneza ndege kubwa ambazo ni
za gharama na ambazo husafiri umbali mrefu kwa kasi zaidi.
Imeelezwa kuwa mashirika matatu ya kimataifa ya ndege ambayo ni Emirates, Qatar na Etihad yametajwa kuwa wanunuzi wakubwa wa ndege hizo, aidha Shirika la ndege la Singapore na Lufthansa yametajwa pia kutumia ndege hizo kubwa.
Leo January 14 2017 nimekutana na hii Top 10 ya ndege ambazo ni kubwa zaidi duniani, unaweza kuitazama hapa chini.

Post a Comment