Mkuu
wa wilaya ya Moshi,Kippi Warioba akizungumza wakati wa uzinduzi wa
msimu wa 15 wa mbio za kimataifa za Kilimanjaro Premium Lager Marathon
2017 ,uzinduzi uliofanyika Kibo Palace Home mjini Moshi.
Meneja
Mauzo wa Kampuni ya TBL mikoa ya Kilimanjaro na Tanga ,Richard Temba
akizungumza wakati wa uzinduzi huo,TBL ndio wadhamini wakuu wa Mbio hizo
kupitia Bia yake ya Kilimanjaro Premium Lager.
Mkurugenzi
wa Kampuni ya Mawasiliano ya simu za mkononi ya TIGO ,Kanda ya
Kaskazini,George Lugata akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mbio
za Kimataifa za Kilimanjaro Premium Lager Marathon 2017 ,Tigo
wanadhamini mbio hizo kwa upande wa Mbio za Kilometa 21
Meneja
Masoko wa Kampuni ya GAPCO Tanzania ,Caroline Kakwezi akizingumza
wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi wa mbio za Kilimanjaro Premium Lager
Marathon 2017,GAPCO wanadhamini mbio za Kilometa 10 kwa upande wa
walemavu.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Executive Solution ,Aggrey Mareale ambao ndio waratibu wa mbio hizo akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Mwakiishi
wa Kampuni ya Sukari ya TPC,Allen Maro akizungumza wakati wa hafla
hiyo,TPC pia ni wadhamini wa mashindano hayo ya kimataifa ambayo
hufanyika kila mwaka.
Afisa
Uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya kuchimba Dhahabu ya Geita Gold
Mining (GGM) Tenga B Tenga akizungumza wakati wa uzinduzi huo,GGM wakiwa
ni wadhamini wapya katika mashindano hayo.
Mwenyekiti
wa Chama cha Riadha mkoa wa Kilimanjaro (KAA) Liston Methacha
akizungumza kwa niaba ya shirikisho la Riadha Tanzania katika uzinduzi
huo.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Wildfrontiers,John Hudson ambao ndio waandaaji wa mbio hizo akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Mgeni
rasmi katika hafla hiyo Mkuu wa wilaya ya Moshi,Kippi Warioba
akiwapongeza wawakilishi wa kampuni zilizojitokeza kudhamini Mbio hizo
za kimataifa.
Post a Comment