PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: WATUMISHI OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA WAPIGWA MSASA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mshauri Mwelekezi wa Masuala ya Jinsia kutoka “Women Fund” Profesa Ruth Meena akitoa mada.   Mshauri Mwelekezi wa Masuala ya Jinsia...

Mshauri Mwelekezi wa Masuala ya Jinsia kutoka “Women Fund” Profesa Ruth Meena akitoa mada.

 Mshauri Mwelekezi wa Masuala ya Jinsia kutoka “Women Fund” Profesa Ruth Meena (kulia), akiwasilisha mada juu ya jinsi ya kuingiza masuala ya jinsia katika mpango kazi wa taasisi wakati wa kikao kazi cha watumishi kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kilicho fanyika leo katika Ukumbi wa ofisi za Bunge jijini Dar es Salaam.
 Mafunzo yakitolewa.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top