PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: HABARI PICHA-MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO SADIKI MECK SADIKI AKIZINDUA KITUO CHA KUNAWA MIKONO
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Sadiki Meck Sadiki akimsalimia mwanafunzi Fadhili Mwidini wa shule ya Msingi Chemka iliyopo wilaya ya Hai,Mku...
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Sadiki Meck Sadiki akimsalimia mwanafunzi Fadhili Mwidini wa shule ya Msingi Chemka iliyopo wilaya ya Hai,Mkuu wa mkoa alifika kukabidhi madawati pamoja na kuzindua vituo vya kunawa mikono vilivyofadhiliwa na Chuo cha Ufundi Arusha (ATC).Picha na Ferdinand Shayo

Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) ,Dr.Richard Masika akitoa ufafanuzi juu ya vituo vya kunawa mikono vilivyofadhiliwa na chuo hicho katika shule ya Msingi Chemka iliyopo wilaya ya Hai,kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Sadiki Meck Sadiki..Picha na Ferdinand Shayo

Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) ,Dr.Richard Masika (wapili kutoka kushoto) akitoa ufafanuzi juu ya vituo vya kunawa mikono vilivyofadhiliwa na chuo hicho katika shule ya Msingi Chemka iliyopo wilaya ya Hai,kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Sadiki Meck Sadiki..Picha na Ferdinand Shayo

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top