Afisa
Ustawi wa Jamii Mkoa wa Dar es Salaam, Flora Masue (wa pili kulia) na
Mkurugenzi wa Kituo cha Msaada wa Sheria kwa Wanawake (WLAC), Theodosia
Muholo (wa tatu kulia), wakikata utepe kuzindua rasmi Awamu ya Tatu ya Kampeni
ya ‘Tunaweza’ wakati wa hafla ya uzinduzi huo uliofanyika leo kwenye Viwanja
vya Biafra jijini Dar es Salaam. Kulia ni Jacckline Mlay wa Kitengo cha haki za
Jinsia Oxfam na (kushoto) ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Kivulini ya jijini
Mwanza, Yassin Ally.
Mgeni rasmi Afisa
Ustawi wa Jamii Mkoa wa Dar es Salaam, Flora Masue (kulia) na Mkurugenzi wa Kituo
cha Msaada wa Sheria kwa Wanawake (WLAC), Theodosia Muholo (katikati), na Mkurugenzi
wa Taasisi ya Kivulini ya jijini Mwanza, Yassin Ally (wa pili kushoto) wakiinua
Vipeperushi baada ya mgeni rasmi kuzindua Awamu ya Tatu ya Kampeni ya ‘Tunaweza’
wakati wa hafla ya uzinduzi huo uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Biafra
jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi Afisa
Ustawi wa Jamii Mkoa wa Dar es Salaam, Flora Masue (wa pili kulia) na
Mkurugenzi wa Kituo cha Msaada wa Sheria kwa Wanawake (WLAC), Theodosia
Muholo (wa tatu kulia), na Mkurugenzi wa Taasisi ya Kivulini ya jijini Mwanza,
Yassin Ally (wa pili kushoto) Mkaguzi wa Polisi Prisca Komba wa Dawati la
Jinsia Polisi Kinondoni (kushoto) na Jackline Mlay wa Kitengo cha haki za
Jinsia Oxfam, kwa pamoja wakiinua vipeperushi baada ya mgeni rasmi kuzindua
Awamu ya Tatu ya Kampeni ya ‘Tunaweza’ iliyofanyika kwenye Viwanja vya Biafra
jijini Dar es Salaam, leo.
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya, Mwacity Almas, akiimba na kucheza pamoja na baadhi
ya kinamama waliohudhuria uzinduzi wa Awamu ya tatu ya Kampeni ya ‘Tunaweza’ ya
Kituo cha Msaada wa Sheria kwa Wanawake (WLAC), iliyozinduliwa leo kwenye
Viwanja vya Biafra jijini Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
Post a Comment