PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: HABARI PICHA –MKUU WA WILAYA YA ARUSHA GABRIEL DAQARRO AKITOA TUZO KWA WALIMU BORA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mkuu wa Wilaya ya Arusha Gabriel Daqarro akikabidhi Tuzo ya Mwalimu Bora kwa Mwalimu Regina Lekule wa shule ya Msingi Msitu wa Mbogo, ...


Mkuu wa Wilaya ya Arusha Gabriel Daqarro akikabidhi Tuzo ya Mwalimu Bora kwa Mwalimu Regina Lekule wa shule ya Msingi Msitu wa Mbogo, katikati ni Mkurugenzi wa Shirika la The Foundation For Tomorrow Melissa Queyquep. Tuzo za Walimu Bora ziliandaliwa na shirika lisilokua la kiserikali la The Foundation For Tomorrow  jana jijini Arusha na kufanyika katika shule ya msingi Arusha school.Picha na Pamela molel


Mkuu wa Wilaya ya Arusha Gabriel Daqarro akikabidhi Tuzo ya Mwalimu Bora kwa Mwalimu Pili Omari Makota wa shule ya Msingi Uraki katikati ni Mkurugenzi wa Shirika la The Foundation For Tomorrow Melissa Queyquep. Tuzo za Walimu Bora ziliandaliwa na shirika lisilokua la kiserikali la The Foundation For Tomorrow  jana jijini Arusha na kufanyika katika shule ya msingi Arusha school.Picha na pamela Molel


About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top