PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: MHESHIMIWA MHAGAMA AKUTANA NA KAMATI YA URATIBU WA MAAFA MKOA WA KAGERA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Uratibu wa Maafa Mkoa wa Kagera wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Wa...
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Uratibu wa Maafa Mkoa wa Kagera wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama wakati wa mkutano wao uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akifungua kikao cha Kamati ya Uratibu wa Maafa Mkoa wa Kagera Septemba 18, 2016, kulia kwake ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Dkt. Hamisi Mwinyimvua. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top