PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Majiji 20 yanayoongoza kwa kutembelewa zaidi duniani
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Le o mtu wangu nafahamu utaku...
Leo mtu wangu nafahamu utakua unayajua majiji mengi kutoka kwenye nchi tofauti tofauti na huenda umeshatembelea huko au kwa kuyaona kwenye picha, Sasa leo nakusogezea hapa list ya Majiji yaliyotajwa na taasisi ya The Mastercard’s Global Destination Cities Index ikiyaweka kwenye majiji yanayotembelewa zaidi duniani.
List hii imetoka baada ya kukusanya taarifa za majiji hayo za miaka Saba kuanzia mwaka 2009 mpaka 2016. Bara la Asia limechukua headlines kwa kuingiza Majiji 11, wakati hakuna jiji lolote lililoingia kutoka Bara la Afrika.

Hii ndio List kamili ya majiji 20 yaliyotajwa kutembelewa zaidi duniani.

20. Prague, Jamhuri ya Czech
Jiji hili limetajwa katika nafasi ya 20 likiwa idadi ya watu Milioni 5.81 wanaolitembelea kika siku.

19. Shanghai, China
Hutembelewa na watu Milioni 6.12 kwa siku.

18. Vienna, Austria
Hutembelewa na watu Milioni 6.69 kila siku.

17. Osaka, Japan 
Hutembelewa na watu Milioni 7.02 kila siku.

16. Roma, Italy

15. Taipei, Taiwan
Hutembelewa na watu Milioni 7.35 kila siku.

14. Milan, Italy
Hutembelewa na watu Milioni 7.65 kila siku.

13. Amsterdam, Uholanzi
Hutembelewa na watu Milioni 8 kila siku.
Amsterdam Nederland Amsterdam Netherlands city night sunset home church cathedral buildings roofs roads cars street lights exposure
12. Barcelona, Hispania
Hutembelewa na watu Milioni 8.2 kila siku.

11. Hong Kong, China
Hutembelewa na watu Milioni 8.37 kila siku.

10. Seoul, Korea Kusini
Hutembelewa na watu Milioni 10.2 kila siku.

9. Tokyo, Japan
Hutembelewa na watu Milioni 11. 7 kwa siku.

8. Istanbul, Uturuki
Hutembelewa na watu Milioni 11.95 kila siku.

7. Kualar Lumpur, Malaysia
Hutembelewa na watu Milioni 12.02 kila siku.

6. Singapore
Hutembelewa na watu Milioni 12.11 kila siku.
Singapore city night
5. New York, Marekani
Hutembelewa na watu Milioni 12.75 kila siku.

4. Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu
Hutembelewa na watu Milioni 15. 27 kila siku.

3. Paris, Ufaransa
Hutembelewa na watu Milioni 18.03 kila siku.

2. London, Uingereza
Hutembelewa na watu Milioni 19.88 kila siku.

1. Bangkok, Thailand
Hutembelewa na watu Milioni 21.47 kila siku.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top