Kijana Emanuel Fedrick (20) Mkazi wa Mwambenja Kata ya Ilemi jijini Mbeya
mwenye tatizo la ulemavu wa viungo na
akili akiwa amelala ndani ,kwa zaidi ya miaka 11 sasa kwa kile kinacho
elezwa kuwa ni kufichwa ndani na wazazi wake ili kuondoa aibu ya familia
.
|
Mahali
anapo lala kijana Emanuel Fedrick (20)Mkazi wa Mwambeja Kata ya Ilemi
jijini kwa zaidi ya Miaka 11 sasa kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kuficha
aibu ya familia.
|
Kijana
Emanuel Fedrick (20) mwenye tatizo la utindio wa ubongo akiwa amebebwa
na shangazi yake Stella Mbuligwe mara baada ya kutoka kufanyiwa usafi
wa mwili kutokana na wazazi wake kutoweza kutoa ushirikiano kwa kijana
huyo..
|
Kijana
Emanuel Fedrick (20) Mkazi wa Mwambenja Ilemi jijini Mbeya ambaye
anatatizo la akili na ulemavu wa viungo akipelekwa ndani na shangazi
yake ,Stella Mbuligwe mara baada yaa kufanyiwa usafi na kupatiwa chakula
|
Na EmanuelMadafa,Mbeya
Katika hali isiyokuwa ya kawaida
kijana mwenye tatizo la ulemavu wa
viungo na akili, amegundulika kufungiwa ndani kwa zaidi ya miaka 11 na
wazazi wake katika eneo la Mwambenja Kata ya Ilemi Jijini hapa.
Post a Comment