PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: TANZIA: ANKAL MICHUZI AFIWA NA MWANAE
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Ankal Issa Michuzi anasikitika kutangaza kifo cha mwanae Maggid Muhidin kilichotokea jana Jumapili huko Durban, Afrika Kusini, alikokuwa ...
Ankal Issa Michuzi anasikitika kutangaza kifo cha mwanae Maggid Muhidin kilichotokea jana Jumapili huko Durban, Afrika Kusini, alikokuwa masomoni.

Mipango ya kuusafirisha mwili wa marehemu inafanywa, msiba utakuwa Tabata Mawenzi jijini Dar es salaam ambako ratiba ya mazishi itatoka mara tu baada ya mwili kuwasili.

Habari ziwafikie ndugu, jamaa, majirani na marafiki popote pale walipo.

Innalillah wa inna ilayhi raajiun

NASI PRINCEMEDIA TZ tunatoa pole sana kwa bwana Issa Michuzi kwa msiba huo mkubwa wa kuondokewa na mwanae mpendwa Mungu awape nguvu ya ujasiri wa kukabiliana na msiba huo mkubwakwenu.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top