PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: MKENYA ROSEMARY ODINGA AWAOMBA RADHI WATANZANIA KWA ALICHOKISEMA "OLDUVAI GORGE IPO KENYA"
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Wakiendesha kampeni hiyo kwenye mitandao ya kijamii kwa kutoa maoni kwenye picha yake, kumeibua hisia kubwa baina ya jamii ya Wak...


Wakiendesha kampeni hiyo kwenye mitandao ya kijamii kwa kutoa maoni kwenye picha yake, kumeibua hisia kubwa baina ya jamii ya Wakenya na Watanzania, huku Watanzania wakidai Wakenya wanawachokoza.
onesmo_killenga: Na hili tutalifanya fundisho kwenu omba msamaha mapema @rosemaryodinga la sivyo tutachukua hatua kama wananchi wa nchi yetu na hamta amini tutasusia bidhaa zenu zilizopo nchini ili tuendelee kuheshimiana hubacaren: Rosemaryodinga you still remain silent? ignoring this or what??? umewakosea watanzania wote na you should apologize publicly or you will just tarnish your image.
esteriche: Dd kasema oldvai ipo kenya xa ona watanzania wanavyomfrahisha ...atafrahiii kwa kweli hizo comments watanzania katika ubora wao na masters za kutetea vya kwao yani hapa nacheka na comment tu.
call_me_kimodo: Mama hivi unajua wa tz wewe, haya matusi tutayoanza kukuporomoshea utaomba poa, omba radhi mwenyewe mwizi wa rasilimali zetu.
Baada ya mkiki huo wa kwenye mitandao kutoka kwa watanzania, wakenya hawajakaa kimya na kuamua kujibu mapigo.
kimathijr: Mnajua nyie wabongo huwa mnabonga sana.. hata kichwa zenu tunajua zimejaa maji. sijapata ona majitu majina in the continent kama nyinyi mazee.... ur such as disgrace to our east community. smh.
Baada ya malumbano hayo Rosemary aliamua kujirudi na kuomba radhi., huku akisema hakuwa nania mbaya kusema kuwa Olduvai Gorge ipo Kenya, kwani Afrika mashariki ni moja.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top