PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Je Diamond Platnumz Alikutana na Huddah Monroe Alivyokuwa Las Vegas Hivi Karibuni? Picha Yazua Utata
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Nchini Kenya limeibuka swali la je Diamond Platnumz alikutana na Huddah Monroe alivyokuwa Las Vegas hivi karibuni? Swali hili lime...


Nchini Kenya limeibuka swali la je Diamond Platnumz alikutana na Huddah Monroe alivyokuwa Las Vegas hivi karibuni?

Swali hili limeibuka baada ya picha inayoonyesha gari aliyopanga Diamond likiwa kwenye picha aliyopiga Huddah Monroe ambaye alikuwa Sin City kwenye tamasha kubwa huko Las Vegas Hotel & Casino.

Diamond Platnumz na Huddah Monroe walipoz kwenye gari moja ambayo imeonekana kuwa na Rim zilizofanana.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top