
Basi
la kampuni ya Princess Muro lapata ajali baada ya kupoteza mwelekeo na
kuingia kituo cha Magari ya Mwendo kasi Kimara jijini Dar es
Salaam.Endelea kufuatilia taarifa zetu tutakujuza kwa kina taarifa hii.

Journalist , Enterpreneur, Lecturer and Blogger. Email :ngoboleaa@gmail.com.
Post a Comment