Wafanyakazi wa kampuni ya TBL Group wanaofanya
kwenye viwanda vyake mbalimbali waliohudhuria semina kuhusiana na jinsia na
mahusiano kazini wamesema mafunzo hayo yamewawezesha kujua mambo mengi
yanayohusiana na maisha wawapo kazini na nje ya kazi.
Wakizungumza wakati wa semina ya mwisho ya kufunga
mafuzo hayo yaliyoendeshwa na Mkaguzi Msaidizi wa Polisi wa Dawati
la Jinsia wilaya ya Kinondoni, Inspekta Prisca Komba,baadhi ya wafanyakazi
wamesema kuna mambo mengi yanayohusiana na sheria na jinsi ya kudai haki
zao wameweza kuyafahamu kupitia semina hii.
Mkaguzi Msaidizi wa Polisi anaeshughulikia Dawati la
Jinsia wilaya ya Kinondoni, Inspekta Prisca Komba, akizungumza na wafanyakazi
wa TBL Group Dar es Salaam wakati wa kufunga mafunzo ya jinsia na mahusiano
sehemu za kazi jijini Dar es Salaam jana.

Mkaguzi
Msaidizi wa Polisi anaeshughulikia Dawati la Jinsia wilaya ya
Kinondoni, Inspekta Prisca Komba, akizungumza na wafanyakazi wa TBL
Group Dar es Salaam wakati wa kufunga mafunzo ya jinsia na mahusiano
sehemu za kazi jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi ya wafanyakazi wa TBL Group wakifuatilia
mafunzo kuhusiana na jinsia katika semina iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini
Dar Es Salaam.
Post a Comment