Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Nape Nnauye akifungua Mwaka Mpya Kichina wa 2016 unaojulikana kama mwaka wa
“Ngedere” kulingana na utamaduni wa nchi hiyo mwishoni mwa wiki viwanja vya
Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam. Kushoto ni mshereheshaji ajiyejitambulisha
kwa jina la “Sharobaro”.
Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye (kushoto) akibadilishana mawazo na Waziri
Mkuu Mtaafu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Salim Ahmed Salim
(kulia) wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mwaka Mpya Kichina wa 2016 unaojulikana
kama mwaka wa “Ngedere” kulingana na utamaduni wa nchi hiyo mwishoni mwa wiki viwanja
vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam.
Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye (kulia) akifuatilia michezo mbalimbali
wakati wa wa hafla ya uzinduzi wa Mwaka Mpya Kichina wa 2016 unaojulikana kama
mwaka wa “Ngedere” kulingana na utamaduni wa nchi hiyo mwishoni mwa wiki viwanja
vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mshauri wa Mambo ya Utamaduni
kutoka Ubalozi wa China nchini Tanzania Gao Wei.
Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye (katikati) akifuatilia michezo
mbalimbali wakati wa wa hafla ya uzinduzi wa Mwaka Mpya Kichina wa 2016
unaojulikana kama mwaka wa “Ngedere” kulingana na utamaduni wa nchi hiyo
mwishoni mwa wiki viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam. Kulia ni Waziri
Mkuu Mtaafu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Salim Dkt. Ahmed Salim na
kushoto ni Mshauri wa Mambo ya Utamaduni kutoka Ubalozi wa China nchini
Tanzania Gao Wei.
Mawaziri Wakuu Wastaafu wa Serikali ya Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. Salim Ahmed Salim (kulia) na Mhe. Mizengo Pinda (kushoto)
wakisalimiana wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mwaka Mpya Kichina wa 2016
unaojulikana kama mwaka wa “Ngedere” kulingana na utamaduni wa nchi hiyo
mwishoni mwa wiki viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam
Mawaziri Wakuu Wastaafu wa Serikali ya Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt Salim Ahmed Salim (kulia) na Mhe. Mizengo Pinda (kushoto)
wakisalimiana wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mwaka Mpya Kichina wa 2016
unaojulikana kama mwaka wa “Ngedere” kulingana na utamaduni wa nchi hiyo
mwishoni mwa wiki viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam
Baadhi ya wageni waliohudhuria hafla ya uzinduzi
wa Mwaka Mpya Kichina wa 2016 unaojulikana kama mwaka wa “Ngedere” kulingana na
utamaduni wa nchi hiyo mwishoni mwa wiki viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es
salaam.

Baadhi ya raia wa Kichina wakiendelea na
kujipamba kabla ya kuanza kwa hafla ya uzinduzi wa Mwaka Mpya Kichina wa 2016
unaojulikana kama mwaka wa “Ngedere” kulingana na utamaduni wa nchi hiyo
mwishoni mwa wiki viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam.

Baadhi ya michezo iliyooneshwa wakati wa hafla
ya uzinduzi wa Mwaka Mpya Kichina wa 2016 unaojulikana kama mwaka wa “Ngedere”
kulingana na utamaduni wa nchi hiyo mwishoni mwa wiki viwanja vya Mnazi Mmoja
jijini Dar es salaam.

Waziri Mkuu Mtaafu wa
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akichanganya tiketi
za bahatinasibu wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mwaka Mpya Kichina wa 2016
unaojulikana kama mwaka wa “Ngedere” kulingana na utamaduni wa nchi hiyo
mwishoni mwa wiki viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam.
Fashifashi
na fataki zilizowashwa kuashiria kuzinduliwa kwa Mwaka Mpya Kichina wa
2016 unaojulikana kama mwaka wa “Ngedere” kulingana na utamaduni wa
nchi hiyo mwishoni mwa wiki viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es
salaam.
Fashifashi na fataki
zilizowashwa kuashiria kuzinduliwa kwa Mwaka Mpya Kichina wa 2016 unaojulikana
kama mwaka wa “Ngedere” kulingana na utamaduni wa nchi hiyo mwishoni mwa wiki
viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam.
Fashifashi na fataki
zilizowashwa kuashiria kuzinduliwa kwa Mwaka Mpya Kichina wa 2016 unaojulikana
kama mwaka wa “Ngedere” kulingana na utamaduni wa nchi hiyo mwishoni mwa wiki
viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam. Picha na Eleuteri
Mangi-MAELEZO
Post a Comment