PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: TAZAMA VIPANDE VYA VIDEO YA 'SHIKA ADABU YAKO' YA NAY WA MITEGO
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  Msanii wa muziki wa Hip Hop Nay wa Mitego amesema ndani ya video yake mpya ya wimbo ‘Shika Adabu Yako’ amecheza kama bosi msela aki...
 
page
Msanii wa muziki wa Hip Hop Nay wa Mitego amesema ndani ya video yake mpya ya wimbo ‘Shika Adabu Yako’ amecheza kama bosi msela akiwa ofisini huku Stan Bakora akimletea document mbalimbali ambazo anatakiwa kuzishughulikia.

Licha ya wimbo huo kufungiwa na Basata, rapa huyo ameiambia Bongo5 Alhamisi hii kuwa, video hiyo inatoka hivi karibuni huku iliwa na vitu vingi vya kuvutia.
“Sijaenda Kenya nimeshoot hapa hapa lakini naimani ni video ambayo watu wataifurahia zaidi tofauti na kwenye audio. Kitu ambacho naweza kuweka wazi kuhusu video hii kwa sasa, kama watu walivyoona kwenye picha nipo kwenye ofisi, mimi namwonekano wa kisela, kwenye ofisi mimi na kazi moja na kazi yangu itaonekana kwenye video pamoja na Stan Bakora lakini nazani pia picha zinajieleza zaidi,” alisema Nay.
Hizi ni picha za uandaaji wa video hiyo.
gg
gg.jpgd
gg.jpgdg
hhh
Q Chief na Hanscana

CHANZOna Bongo5.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top