Title: Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Akana Kutoa Amri ya Kufuta Matokeo ya Uchaguzi Zanzibar
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5
Des:
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa na Rais Mstaafu Dokta Jakaya Kikwete amewataka watanzania kupuuzia uvumi unaoenezwa...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa na Rais Mstaafu Dokta Jakaya
Kikwete amewataka watanzania kupuuzia uvumi unaoenezwa kuwa yeye ndiye
aliyetoa amri ya kufuta matokeo ya Uchaguzi wa Zanzibar.
Amesema Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar ina mamlaka kamili na hakuna mtu ambaye anaweza kuiingilia.
Post a Comment