Kampuni
ya TBL Group ambayo ni kampuni mama ya kampuni ya bia nchini,Konyagi na
Chibuku jana iliandaa hafla ya kuwatunukia vyeti na zawadi wafanyakazi
walioitumikia kwa muda mrefu katika hafla iliyofanyika jijini Dar es
Salaam
Meneja
wa TBL Group wa kiwanda cha Bia cha Dar es Salaam,Calvin Martin
akiongea na wafanyakazi katika hafla hiyo iliyofanyika jana jijini
DaresSalaam
Mkurugenzi
wa Ufundi wa TBL Group kanda ya Afrika Mashariki Gavin Van Wijk (kulia)
akimkabidhi cheti mmoja wa wafanyakazi waliotumikia kampuni ya TBL kwa
muda mrefu Sylivester Kunambi wakati wa hafla hiyo iliyofanyika jana
jijini Dar es Salaam.
kurugenzi
wa Ufundi wa TBL Group kanda ya Afrika Mashariki Gavin Van Wijk (kulia)
akimkabidhi cheti mmoja wa wafanyakazi waliotumikia kampuni ya
DarBrew(Chibuku) kwa muda mrefu Leonora Nyalusi wakati wa hafla hiyo
iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam
Wafanyakazi wa TBL group wakifuatilia matukio wakati wakati wa hafla hiyo.
Wafanyakazi wa kampuni ya TBL wakiserebuka wakati wa hafla hiyo.
Post a Comment