PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: MULTCHOICE TANZANIA YAPATA CHAI YA PAMOJA NA WANAHABARI KATIKA HALFA YA KUKARIBISHA MWAKA MPYA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Meneja Masoko wa Multichoice Tanzania, Furaha Samalu akiwaongoza wanahabari kupata chai maalum iliyoandaliwa na...




Meneja Masoko wa Multichoice Tanzania, Furaha Samalu akiwaongoza wanahabari kupata chai maalum iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa ajili ya kuukaribisha mwaka mpya pamoja na kufahamiana zaidi ikiwemo huduma na utendaji kazi kwa hapa nchini. 

Baadhi ya wanahabari wakiwa katika shughuli hiyo maalum iliyoandaliwa kwa ajili yao na MultChoice Tanzania ambao ni wasambazaji wa ving'amuzi vya DSTV kwa Tanzania.
Baadhi ya wanahabari wakipata Chai katika shughuli hiyo maalum iliyoandaliwa kwa ajili yao na MultChoice Tanzania ambao ni wasambazaji wa ving'amuzi vya DSTV kwa Tanzania.
Watendaji wa Multchoice Tanzania wakitoa shukrani zao kwa wanahabari waliofika katika mwaliko maalum wa kuukaribisha mwaka pamoja na kufahamiana zaidi halfa iliyofanyika mapema asubuhi ya leo katika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top