PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Mhandisi Suleiman Said azikwa jijini Dar
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
 Sehemu ya Waombolezaji wakiwa wamebeba Jeneza lenye mwili wa aliekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (...


 Sehemu ya Waombolezaji wakiwa wamebeba Jeneza lenye mwili wa aliekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Mhandisi Suleiman Said Suleima, wakati wakiwasili kwenye Makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam leo kwa ajili ya mazishi.
Sehemu ya Waombolezaji wakiwa kwenye Mazishi ya aliekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Mhandisi Suleiman Said Suleima, yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Kisutu, Jijini Dar es salaam.





About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top