PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: KUMBE RAISI MAGUFULI NI MTAALAMU WA KUSHONA NGUO PITIA HAPA UJIONEE MWENYEWEEEE!!!
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akionesha umahiri wake wa kutumia cherahani na kushona nguo za wafanyakazi wakati alipofanya...

 

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akionesha umahiri wake wa kutumia cherahani na kushona nguo za wafanyakazi wakati alipofanya ziara ya kutembelea na kuvifahamu vitengo mbalimbali vya Ikulu jijini Dar es Salaam Januari 20, 2016
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiendelea kushona kwa ustadi
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimalizia moja ya nguo za wafanyakazi wa Ikulu.

Picha: Ikulu

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top