Meneja
Mahusiano Programu za Wakulima Wadogo wa Benki ya NMB Plc, John
Machunda (kushoto) akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo,
Mifugo na Uvuvi, Dk Florens Turuka (wa pili kulia) alipotembelea banda
la NMB katika maonesho ya biashara kwa wadau wa kilimo Afrika Mashariki
yaliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dk Florens Turuka (wa pili
kulia) akimuuliza swali Meneja Mahusiano Programu za Wakulima Wadogo wa
Benki ya NMB Plc, John Machunda (kushoto) alipotembelea banda la NMB
katika maonesho ya biashara kwa wadau wa kilimo Afrika Mashariki
yaliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Meneja
Mahusiano wa Kilimo cha Biashara wa Benki ya NMB Plc, Christopher
Mwalugenge (kulia) akifafanua maswali mbalimbali kwa wateja
waliotembelea Banda la Benki ya NMB Plc katika maonesho ya biashara kwa
wadau wa kilimo Afrika Mashariki yaliyofanyika Mlimani City jijini Dar
es Salaam.
Meneja
Mahusiano wa Kilimo na Biashara wa Benki ya NMB Plc, Hamisi Mmomi
(kushoto) akifafanua jambo kwa mmoja wa wateja waliotembelea Banda la
Benki ya NMB Plc katika maonesho ya biashara kwa wadau wa kilimo Afrika
Mashariki yaliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dk Florens Turuka (katikati)
pamoja na ujumbe wake wakipata maelezo toka kwa Meneja Mahusiano
Programu za Wakulima Wadogo wa Benki ya NMB Plc, John Machunda (kushoto)
walipotembelea banda la NMB katika maonesho ya biashara kwa wadau wa
kilimo Afrika Mashariki yaliyofanyika Mlimani City jijini Dar es
Salaam.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dk Florens Turuka (katikati)
pamoja na ujumbe wake wakikaribishwa katika banda la NMB walipotembelea
kwenye maonesho ya biashara kwa wadau wa kilimo Afrika Mashariki
yaliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya wananchi wakitembelea mabanda anuai katika maonesho ya biashara kwa
wadau wa kilimo Afrika Mashariki yaliyofanyika Mlimani City jijini Dar
es Salaam.
Pichani
ni baadhi ya mashine na magari yanayotumika kwa kilimo wakiwa katika
maonesho ya biashara kwa wadau wa kilimo Afrika Mashariki yaliyofanyika
Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dk Florens Turuka (kulia)
akipata maelezo toka kwa mtaalamu wa mashine kubwa na ya kisasa
inayovuna, kukoboa na kupakia mpunga na mahindi kwenye magunia huku
ikijiendesha yenyewe shambani, mashine hiyo ipo katika maonesho ya
biashara kwa wadau wa kilimo Afrika Mashariki yaliyofanyika Mlimani City
jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dk Florens Turuka (kushoto)
akitembelea mabanda mengine katika maonesho ya biashara kwa wadau wa
kilimo Afrika Mashariki yaliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Post a Comment