| Wafanyakazi wa CRDB Arusha wakifanya mazoezi ya vitendo kusherehekea siku ya familia |
| moja ya mchezo uliovutia wanafamilia wa CRDB bank ni kuvuta kamba |
| watoto wa wafanyakazi wa CRDB wakifurahia michezo mbalimbali |
| bendi ya muziki ilikuwepo kuwaburudisha watu mbalimnbali waliohudhuria siku hiyo ya familia |
| kiongozi wa benki hiyo akimkabidhi mtoto zawadi |
Post a Comment