
M/Kiti CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe akifatana na alikuwa mgombea urais
wa chama hicho Mhe. Edward Lowassa pamoja na viongozi mbalimbali
wakitazama eneo ambalo Alphonce Mawazo alifanyiwa kitendo ya kinyama cha
kukatwakatwa mapanga na watu wanaosemekana ni wafuasi wa CCM ikiwa ni
umbali mchache kutoka kutuo cha polisi na ofisi za CCM katika barabara
kuu inayoelekea Geita kutokea Busanda.

Post a Comment