PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Lowassa na Mbowe Watua Katika Eneo Ambalo Mauti yalimfika Mwenyekiti wa Chadema Geita Alphonce Mawazo
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
M/Kiti CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe akifatana na alikuwa mgombea urais wa chama hicho Mhe. Edward Lowassa pamoja na vion...

M/Kiti CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe akifatana na alikuwa mgombea urais wa chama hicho Mhe. Edward Lowassa pamoja na viongozi mbalimbali wakitazama eneo ambalo Alphonce Mawazo alifanyiwa kitendo ya kinyama cha kukatwakatwa mapanga na watu wanaosemekana ni wafuasi wa CCM ikiwa ni umbali mchache kutoka kutuo cha polisi na ofisi za CCM katika barabara kuu inayoelekea Geita kutokea Busanda.




30 Nov 2015

About Author

Advertisement

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top