Watanzania nadhani tuna matatizo sana, mtu mwenye akili timamu katika
hali ya kawaida huwezi kuta mnyama amekufa ukakimbilia kumfanya kitoweo
bila ruksa ya daktari wa mifugo au mamlaka husika. Hata kwenye machinjio
yetu lazima daktari athibitishe kuwa kitoweo ni salama kwa matumizi ya
binadamu.


Post a Comment