PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: BAADA YA KUTANGAZWA MSHINDI WA URAISI DOKTA MAGUFULI ATINGA IKULU KUMSABAHI RAISI KIKWETE
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
   Ni siku ambayo tayari histori...

  

Ni siku ambayo tayari historia imeandikwa kwenye vichwa vya Habari za Siasa Tanzania ambapo Dk. John Pombe Joseph Magufuli ametangazwa kuwa mshindi wa kiti cha Urais kwenye Uchaguzi mkuu uliofanyika October 25 2015.
unnamed ii
Rais JK na Dk. Magufuli ndani ya Ikulu baada ya matokeo ya Urais kutangazwa October 29 2015
Kwa maana hiyo Dk. Magufuli anakuwa Rais anayekuja kubadili nafasi ya Rais Jakaya Kikwete na kuwa Rais wa awamu ya tano Tanzania, Dk. Magufuli amealikwa Ikulu Dar es Salaam Tanzania na Rais Kikwete na kupongezwa kwa ushindi huo muda mfupi tu baada ya kutangazwa kupitia TV waliyokua wakitazama pamoja.
unnamed iii
Dk. John Magufuli akipokea pongezi za mgombea urais wa ACT Anna Mgwira.
unnamed iv
Rais JK, Mama Salma Kikwete kwa pamoja wakimpongeza Dk. John Magufuli.
unnamed ix  unnamed vi unnamed VII unnamed viii unnamed x
unnamed

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top